Duuh!! Ngoja tujaribu na huyu tuone naye atatuelekeza wapi.Ametambulishwa kwa waandishi wa habari,anaitwa NSREDDINE MOHAMED NABI,ni Mtunisia....team yake ya mwisho ni Elmereck Shadeeya View attachment 1758346
Tusiweke matumain makubwa Sana apewe muda wa kuijenga timu msimu ujao tuwaze ubingwa ikitokea tukapata msimu huu bas heri zaidiiDuuh!! Ngoja tujaribu na huyu tuone naye atatuelekeza wapi.
Nikweli kabisaDuuh!! Ngoja tujaribu na huyu tuone naye atatuelekeza wapi.
Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tusiweke matumain makubwa Sana apewe muda wa kuijenga timu msimu ujao tuwaze ubingwa ikitokea tukapata msimu huu bas heri zaidii
Nakusalimia mdogo wangu.Hahahhaaah
Naam! Dada kwema mimi bukheri wa afya. Hofu kwako?Nakusalimia mdogo wangu.
Hivi kumbe unapendaga futiboli na wewe?
Kikosi kimeshatoka au bado?View attachment 1763384
Siku yetu leo kulamba Ice Cream.
Mie Alhamdulillah niko poa kabisa mdogo wangu.Naam! Dada kwema mimi bukheri wa afya. Hofu kwako?
Mpira sio kupenda tu, nimecheza sana mtaani kipindi hicho ligi za Coca Cola,
no sita mgongoni. Ila mpira niliacha kuufuatilia kadri umri ulivokua unasonga. Coment ya jamaa hapo ndio imenifanya nireply imefurahisha jibu lake
Bado nadhani baadae baadae watakitowa mana mechi yenyewe inachezwa usiku 20:15hrs.Kikosi kimeshatoka au bado?
Poa Mungu atusimamie tuchukue point 3 muhimuBado nadhani baadae baadae watakitowa mana mechi yenyewe inachezwa usiku 20:15hrs.
Ni kweli huku unaondoa stress kabisaa!!Mie Alhamdulillah niko poa kabisa mdogo wangu.
Saafi sana!!
Hahahaa. Ukitaka kucheka tembelea hizi nyuzi za watani wa jadi waeza cheka mpaka basi.
Insha Allah! Game ngumu ila we can.Poa Mungu atusimamie tuchukue point 3 muhimu
Hivyo mdogo wangu na wewe ni wa kijani na njano ama? 😎😎Ni kweli huku unaondoa stress kabisaa!!
Hahaha! Kwakweli sipo njano au kijani Mimi mshabiki wa Taifa star's[emoji3][emoji3]Hivyo mdogo wangu na wewe ni wa kijani na njano ama? [emoji41][emoji41]