Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wana Yanga wenzangu tusiwe na hofu huu ubingwa ni wakwetu hawa PAKA FC watateleza tu, muhimu tushinde mechi zetu.

Au nasema uongo Yanga wenzangu?
eti Shadeeya
 
Sisi Kama yanga tumeamua kujitoa kwenye mbio za ubingwa[emoji119][emoji119]
 
Yule dogo Gustavo ni mtu aisee! Leo kawaweka Dilunga na Morrison mfukon, dah! Inauma ukimwona dogo kama yule anaonyesha mautundu kama yale alafu unarud unawakuta akina Adeyun ndiyo wamepewa mikoba ya timu yani! Sijui Yanga tunafeli wapi!
 
Nakusalimia mdogo wangu.

Hivi kumbe unapendaga futiboli na wewe?
Naam! Dada kwema mimi bukheri wa afya. Hofu kwako?

Mpira sio kupenda tu, nimecheza sana mtaani kipindi hicho ligi za Coca Cola,
no sita mgongoni. Ila mpira niliacha kuufuatilia kadri umri ulivokua unasonga. Coment ya jamaa hapo ndio imenifanya nireply imefurahisha jibu lake
 
20210425_095723.jpg

Siku yetu leo kulamba Ice Cream.
 
Naam! Dada kwema mimi bukheri wa afya. Hofu kwako?

Mpira sio kupenda tu, nimecheza sana mtaani kipindi hicho ligi za Coca Cola,
no sita mgongoni. Ila mpira niliacha kuufuatilia kadri umri ulivokua unasonga. Coment ya jamaa hapo ndio imenifanya nireply imefurahisha jibu lake
Mie Alhamdulillah niko poa kabisa mdogo wangu.

Saafi sana!!

Hahahaa. Ukitaka kucheka tembelea hizi nyuzi za watani wa jadi waeza cheka mpaka basi.
 
Back
Top Bottom