Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Gimu bado tujenge timu kwanza na apa tulipo ni kwa kudra kiukweli timu yetu bado dhaifu mno tunapaswa kuukubali ukweli na kuijenga timu kwa nguvu zote ili msimu ujao tuwe na timu tushio haya ni mapito tu jamani timu yetu bado iko weak sana
Hata aje messi pale kwa uongozi wa yule mlevi msola hatutofanya lolote...timu inaongozwa kienyeji kama club ya pombe Za kienyeji
 
Timu imepambana sana leo, ni bahati haikuwa kwetu kutokana na kukosa clinical striker type ya Dube, We deserved a point today!
Hakika! Hatujacheza vibaya.

Pia na Shikalo naye anahitaji kubadilika kwa aina ya ukaaji wake pale golini.
 
yanga tutafute wachezaji wazalendo kama akina

anga katika mechi hiyo iliwakilishwa na:
1) steven nemes
2) mwanamtwa kihwelu
3) keneth mkapa
4) willy mtendamema
5) issa athuman
6) method mogella
7) steven mussa
8) hamis thobias gagarino
9) said mwamba kizota
10) mohamed husein chinga one
11) edibily jonas lunyamila
 
Wana Yanga wenzangu tuendelee kuisapoti timu hadi mwisho Wa msimu ili tuweze kupata moja ya nafasi 2 za juu huku tukiamini timu itakuwa imara zaidi msimu ujao. Ila uongozi wetu haufai kuendelea kusalia hasa Mwenyekiti, Makamu wake!
Duuh! Hatuwezi iacha tutaendelea kuisapoti huku tukipungukiwa baadhi ya kilo kila kukicha. 🙃🙃
 
Duuh! Hatuwezi iacha tutaendelea kuisapoti huku tukipungukiwa baadhi ya kilo kila kukicha. [emoji854][emoji854]
Hivi dada hili la kumleta kocha hata kiinglish hakipand mnalichukuliaje jaman

Ndio kocha mzur lakn nchi alizopita alikuwa anaelewana nao lugha Kama Sudan kiarabu naye anajua Kama afrika ya kati kifaransa wanaongea vizuri hvyo wanaelewana

Ikawaje wamuone huyu jaman na hajawah fundisha timu zenye lugha tofaut anazoelewa jaman

KUNA KITU HAKIPO SAWA KLABUNI KWETU
 
Ally mayai tembele
Sekolojo chambua
 
Acheni lawama, waliomleta wanajua zaidi
 
Timu haina golikipa, timu haina striker, vimetucost ubingwa huu
 
WAPENZI WA SIMBA (NA WANA SOKA WOTE) AMBAO MKO MBALI NA TV ZENU/MABANDA UMIZA, karibuni niwapatie app ya azam tv mjionee soccer live na vipindi vingine vingine from azam tv channels.

Ni rahisi kujiunga

Gharama ni Tshs elfu 6000.

Ukijiunga leo haujiungi tena wala kulipia tena.
 
Kuna app inaitwa pimantv ina chanel zote hzo bureee
Tafuta kazi ya kufanya
 
Huenda yupo Mkalimani.

Nadhani tusubirie tuone alichonacho japo bado ana kazi ya ziada hasa ukiangalia wachezaji wetu wengi ni magarasa.
 
Mwakalebela aliwapa wako zuri la kujitoa kwenye ligi mkalipuuza.
 
Siku ya kuja kuuondoa huo Mwiko huko nyuma ndio mtaanza kupata makombe kinyume na hapo ni vilio tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…