Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kikosi cha wananchi kikiwa Mbeya safari ya kurudi DSM baada ya jana kusonga mbele kombe la FA kwa maandalizi ya lile jambo letu kubwa hapo tarehe 08.

20210501_144202.jpg
 
hivi washona sare si upande wa mke ndio wanasare nyingi
ya kicheni part
ya sendoff
ya harusi

upande wa mume sidhani kama kuna sare nyingi hivi
simba ni mume aenda oa hakuna misare
 
Back
Top Bottom