Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nakazia.Daima mbele nyuma mwiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia.Daima mbele nyuma mwiko
Na hawa ndo watazimia hapo baadae.Mnatembea na matokeo mfukoni, kuweni makini sana
Hahahaaa. Sema mechi kama ya leo anaiwezaKama mtu vile huyu
😀 Ndo kumeshakucha Mtani na leo sisi wa Daslam tunaona jua kali tu. 😀
Hawa mikia leo hawatokiMtani haya amka ukanawe uso sasa. 😅😅😅
Yah!! Na wakijikaza sana basi sare.Hawa mikia leo hawatoki
Swahiba kama nawaona Mikia watakavyoitumia hii kauli matokeo yakiwa tofauti. TehHawa mikia leo hawatoki
Anakwenda pale michael sarpong anapiga shuti kalii goooooooooaaal what a goal what a goal, Yanga wanafunga goal la kikatili.Mtani haya amka ukanawe uso sasa. 😅😅😅
Mtani we ootttta tu. 😀😀Anakwenda pale michael sarpong anapiga shuti kalii goooooooooaaal what a goal what a goal, Yanga wanafunga goal la kikatili.
Simba 5 - 1 Yanga teh teh teh.
Teh teh vuta subira wewe ushuhudie PIRA mnyanyaso kutoka kwa timu tishio kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka.😀 Ndo kumeshakucha Mtani na leo sisi wa Daslam tunaona jua kali tu. 😀
Nasikia mumezowea mpaka mvua inyeshe ndo munapata matokeo. Tehe teh
Masikini kumbe Shadeeya anatamani hata sare? Daah nimeingiwa na huruma.Yah!! Na wakijikaza sana basi sare.
😅😅😅Masikini kumbe Shadeeya anatamani hata sare? Daah nimeingiwa na huruma.
17:00Hrs kwani mbali basi.Teh teh vuta subira wewe ushuhudie PIRA mnyanyaso kutoka kwa timu tishio kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka.
SIMBA NGUVU MOJA
Mommy vipi utaenda uwanjani? Nahitaji tujumuike wote.17:00Hrs kwani mbali basi.
We tulia hivvyoohivvyo.
Hapana ndugu siendi. Mi nitangalia kwa TV.Mommy vipi utaenda uwanjani? Nahitaji tujumuike wote.