Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanga bana kama kimbunga Jobo tu mikwara mingi kimefika nchi kavu nguvu imeisha.
 
Wakati Simba inasajili wachezaji nyie mlikuwa mko bize kuwapokea wavuvi wa kambare pale Airport.
 
Kuelekea mchezo wetu wa FA Ijumaa dhidi ya Prisons kikosi cha Timu ya Wananchi jana kilianza safari kuelekea Sumbawanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…