Imejitahidi walau inaonekana kuna kitu tunacho.Leo sijaangalia mechi,vp leo timu imechezaje ndugu wananchi?
Imecheza vibaya sana japo tumeshindaLeo sijaangalia mechi,vp leo timu imechezaje ndugu wananchi?
MaendeleoMtoto halali na hela dodoma huko.
Uendelee kuwepo jukwaani mkuu.
AfadhaliImejitahidi walau inaonekana kuna kitu tunacho.
Utopolo imechangamka kwa simba kutolewa!!! Akili za utopolo wanazijua wenyewe! Ndio maana piga ua utopolo hawezi kuleta timu july.Utopolo
UtopoloTuiunge mkono timu yetu hadi mwisho,mana bado tuna mlima mrefu ktk kuhakikisha tunamaliza nafasi mbili za juu. Baada ya ligi kisha tutafanya tathimini kwa ujumla na kushusha lawama zetu pale inapobidi na kushauri pia!
Kwani huyo Mwadui raundi ya kwanza alifungwa ngapiHivi huyu DITRAM nyinyi mnamwelewa leo??? Alafu michezaji inaonyesha kuridhika na hako kagoli kamoja wakat mashabiki tunahitaji goli nyingi. Yan msimu huu yanga haijafunga timu goli 4+ sijui nini mweee[emoji41][emoji41][emoji41]
Anko hapa ni lazima umepitiwa. 😀Hivi huyu DITRAM nyinyi mnamwelewa leo??? Alafu michezaji inaonyesha kuridhika na hako kagoli kamoja wakat mashabiki tunahitaji goli nyingi. Yan msimu huu yanga haijafunga timu goli 4+ sijui nini mweee[emoji41][emoji41][emoji41]
Nadhani sasa ni wakati wa Timu ya Wananchi kujipanga sawia ili huo msimu ujao wa 2021/2022 tuwe wa kwanza kuichukua hiyo M.500.
Tuliwahi mpiga mwadui 5Hivi huyu DITRAM nyinyi mnamwelewa leo??? Alafu michezaji inaonyesha kuridhika na hako kagoli kamoja wakat mashabiki tunahitaji goli nyingi. Yan msimu huu yanga haijafunga timu goli 4+ sijui nini mweee[emoji41][emoji41][emoji41]
Haswsaa!Nadhani sasa ni wakati wa Timu ya Wananchi kujipanga sawia ili huo msimu ujao wa 2021/2022 tuwe wa kwanza kuichukua hiyo M.500.