Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

IMG-20210531-WA0002.jpg
 
Daah!! Inabidi uongozi uangalie hilo mana yasije geuka ya msimu uliopita wachezaji kibao wakaachwa tukaja anza tena upya msimu ujao.
Na Lazima tu muanze upya mtani... Kuna wachezaji mnao pale wabovu na wengine Wanaotaka kuondoka, sio rahisi kuwepo msimu ujao.

1 Sarpong
2 Fiston
3 Nchimbi
4 Saidoo
5 Makapu
6 Niyonzima
7 Waziri Jr
8 Moro
9 Adeyuni
10 Mauya
 
Mtani ni kweli lakini nikikaa nawaza watakuja wa aina gani mana usishangae tukashusha wachezaji wengine kwa mbwembwe lakini mwishowe wakawa magarasa vile vile.

Nadhani fungu ndo huwa linasababisha yote haya mana laiti lingekuwepo la kutosha tungeshusha wachezaji wenye viwango vya kuchezea Timu ya Wananchi na sio hawa tia maji tia maji.
 
Na Lazima tu muanze upya mtani... Kuna wachezaji mnao pale wabovu na wengine Wanaotaka kuondoka, sio rahisi kuwepo msimu ujao.

1 Sarpong
2 Fiston
3 Nchimbi
4 Saidoo
5 Makapu
6 Niyonzima
7 Waziri Jr
8 Moro
9 Adeyuni
10 Mauya
Namba 4 na hata 8 nadhani wanatufaa bado.
 
Duuh!! Mie kinachonisikitisha ni vile hatupati timu inayokaa kwa pamoja muda mrefu yaani akija huyu basi ujue yule anaondoka. 🤔🤔🤔

Kumbe lamine naye yupo njiani?
Ndiyo,juzi aliongea na East Africa Radio 📻 katoa tuhuma kibao, sidhani kama atabaki kwa maneno yale
 
Back
Top Bottom