Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

IMG-20210601-WA0004.jpg
 
Tumia akili tarehe 2 ndo kesi inapangiwa healing, mbona kitu rahisi sana hizo ulizo leta ni kesi zinazofanyiwa healing tarehe 2
Mnadanganyika kitoto sana,

Kwenye barua wanasema klabu hairuhusiwi kueleza mwenendo wa kesi hadi iishe na Hapohapo mnaeleza kwenye taarifa hiyohiyo kuhusu mwenendo wa kesi.

Yanga kweli ni vichwa maji Mimi nilijua tatizo ni kilo 8000 kumbe mpaka Mashabiki ni zero.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20210602_040325.jpeg
 
Chuma kimeondoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20210602_040258.jpeg
 
Viongozi wa Yanga ni wajinga wameshawaona Mashabiki wao ni wajinga,

Nenda kwenye website ya Cas kuna orodha ya kesi zote pale zitakazo sikilizwa kesi ya Morrison na Yanga HAIPO [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ni maoni yako
 
Wewe ndo huna akili unasoma ila hulelewi
 
Unadhani kwanini Yanga hawajakanusha tetesi za kusajiliwa Shabaan Djuma lakini nguvu kubwa sana inatumika kukataa usajili wa Ajib? Akili za kuambiwa.........
 
hili la morison tatizo la Yanga ni kukomoa wachezi na hii ndio historia ya yanga.
Yanga haijawahi muachia mchezaji mwenye kiwango kwenda simba hata kama simba wakimuhitaji bila kumkomoa hata kama mchezaji husika akikataa
 
Back
Top Bottom