Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa jinsi tulivyocheza first round ubingwa ulikuwa wetu kabisa Mtani sema second round zile sare na kufungwa ndo kukaharibu kila kitu.

Sidhani kama wanahitaji lawama zaidi ya kukiboresha zaidi kikosi ili next season tufanye vyema zaidi.
Mfia timu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yanga hawajawahi kuwa na akili, wanabweka kama mbwa na kulia kama nyani....

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Mashabiki wa Simba wote Ni Kama Dc aliyepamdishwa kiximban Jana, hasa hasa kwa majivuni. Siku zenu zinahesabika, tukana mnavyoweza, beza muwezavyo Ila siku zenu zinahesabika.
 
hili la morison tatizo la Yanga ni kukomoa wachezi na hii ndio historia ya yanga.
Yanga haijawahi muachia mchezaji mwenye kiwango kwenda simba hata kama simba wakimuhitaji bila kumkomoa hata kama mchezaji husika akikataa
Shida huko kwa Simba sc kutaka vya bure km Malayay. Daima aliyezoea vya kunyonga kuchinja hawezi
 
Kwa jinsi tulivyocheza first round ubingwa ulikuwa wetu kabisa Mtani sema second round zile sare na kufungwa ndo kukaharibu kila kitu.

Sidhani kama wanahitaji lawama zaidi ya kukiboresha zaidi kikosi ili next season tufanye vyema zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti Next season tufanye vyama, Labda Simba sc Tanzania ihame ligi.
 
Kwa jinsi tulivyocheza first round ubingwa ulikuwa wetu kabisa Mtani sema second round zile sare na kufungwa ndo kukaharibu kila kitu.

Sidhani kama wanahitaji lawama zaidi ya kukiboresha zaidi kikosi ili next season tufanye vyema zaidi.
Hii kitu sahau kwa miaka kadhaa ntani
 
Zidi tu kukariri kauli ya Manara Mtani. Teh
Gap between us ni kubwa kupita kiasi, hatuko level moja tena , kuja kubeba ubingwa kwenu labda itokee bahati tu miaka michache ijayo , kama kilicho tokea ufaransa na Italy, bahati tu

Unapambana na club ambayo ina uhakika wa kucheza robo Final club bingwa every season , na hata tukisema msimu ujao tunaingia robo final tena huwez pinga, lakn vile vile huwez thubutu kusema yanga mna uhakika wa kuvuka hatua ya awali, unasubiri kitakacho tokea

Mjipange , mjipange haswa .. hili kombe mtaliona tu kama uchi wa mtoto

Bado mechi tatu sijui nne tuwe mabingwa, jiandae kutupigia makofi
 
20210616_050808.jpg
 
Back
Top Bottom