Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20210617_205554.jpg
 
Hivi hapo alishindwa nini kunyoosha mikono? Mana ni kama hakuwa mchezoni.
Eti anadai alijua mpira unatoka hivyo akaacha ili asisababishe kona! Cha ajabu aliruka tu bila kujua eneo la goli lake lililobakia! Hakuwa serious kiukweli! Halafu pamoja na upumbavu wote huo alitaka washabiki wanyamaze na wachukulie kiurahisi tu! Mtu mwenyewe kabla tu ya hapo alikuwa haaminiki
 
Anatuzingua, asepe tu
 
Alisahau kwamba sisi mashabiki ndo tunaumia zaidi huku yeye akiwa mpitaji tu mana si ajabu kesho na kesho kutwa akahamia upande wa pili.

Hivi Farouk kwani mnamuonaje nadhani angepewa nafasi naye, japo saa ingine ana shida ya kutoka toka.
 
Back
Top Bottom