Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hiyo ni mechi ya FA Ntani.

Duuh!! Naona mnatamani sana eee sisi tuwapigie makofi? Tusubiri tuone.
Kumbe hakuna mechi nyingine katikati hapo? Tunachukua ubingwa kwenu

Unapigwa na ubingwa unatangazwa hapo hapo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtajuta kwann mlikimbia
 
IMG-20210623-WA0018.jpg
#TBT
 
Back
Top Bottom