Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kumbe hakuna mechi nyingine katikati hapo? Tunachukua ubingwa kwenu

Unapigwa na ubingwa unatangazwa hapo hapo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtajuta kwann mlikimbia
πŸ˜€πŸ˜€ Musije singizia uchawi tu mana huwa hamchelewi.
 
Kumbe hakuna mechi nyingine katikati hapo? Tunachukua ubingwa kwenu

Unapigwa na ubingwa unatangazwa hapo hapo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtajuta kwann mlikimbia
Sijajua kwa Wiki ijayo mana hizi game za FA zinachezwa leo na kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…