FT Biashara 0 Yanga 1Mwenye matokeo
Nina hofu kubwa sana juu ya hilo ndugu yangu!Kama naona vile tutakavyokimbiwa kesho. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha haFeisal Ajengewe Sanamu Lake Kila Mkoa.
Tumetangulia, sijui watakuja Lake Tanganyika au watakimbia kama tarehe 3Ooh!! Sio mbaya Mkuu tutacheki kwa tivii
🤣🤣🤣 ndo kitakachotokea. 🤣🤣🤣Nina hofu kubwa sana juu ya hilo ndugu yangu!
Sijui tukawasimaie hapo hapo uwanjani kuhakikisha hawakimbii!?[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo kitakachotokea. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuwaambie tu waje kwani tunataka tuwape maumivu mara mbili mwaka huu. 😀Tumetangulia, sijui watakuja Lake Tanganyika au watakimbia kama tarehe 3
Nina wasiwasi kama watakuja aisee.....🤣🤣Tuwaambie tu waje kwani tunataka tuwape maumivu mara mbili mwaka huu. 😀
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Leo yanga mkishinda naenda kunya pale posta
Yabidi Mkuu. 🤣Sijui tukawasimaie hapo hapo uwanjani kuhakikisha hawakimbii!?[emoji3]
Hata na mimi pia Mkuu nina wasiwasi huo. 🤣🤣🤣 hawashindwi tukimbia.Nina wasiwasi kama watakuja aisee.....🤣🤣
Wameshushuka mbaya. 😀 Mana walijua kujazana hao.Anawacheki wana mkia wachache waliofika kwa daubiniView attachment 1829682
Ha ha haKesho Azam msijifanye mnajua saana mpira sisi tunataka nyama choma[emoji881] fainali na sio lamba lamba[emoji509]...[emoji23]
Mumfunge nani nyie , [emoji23][emoji23] hivi unawazaga vitu gani wwAfadhali umelijua hilo ili tukiwafunga musiwasingizie waganga.
Kwani nyie mtamfunga nani?Mumfunge nani nyie , [emoji23][emoji23] hivi unawazaga vitu gani ww