Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

IMG-20210627-WA0003.jpg
IMG-20210627-WA0004.jpg
 
Hujajibu swali langu

Wewe umewah kuona Yanga akipata huo ushind dhidi ya simba , yani 3-0 au 3-1

Ni lini umeona ??

Mimi nimeona zote kuanzia 1-0 hadi 5-0 simba ikiiboa Yanga
Ninachomaanisha ukiona Simba anaifunga Yanga hizo goli basi ujue kuna hujuma. Ila kiuwezo tu hamna uwezo Wa kufunga goli nyingi dhidi ya Yanga
 
Ninachomaanisha ukiona Simba anaifunga Yanga hizo goli basi ujue kuna hujuma. Ila kiuwezo tu hamna uwezo Wa kufunga goli nyingi dhidi ya Yanga
Ndan ya misimu minne, mmeifunga simba mara moja tu kwenye ligi, misimu yote simba anakufunga, kila siku nyinyi n hujuma tu ?

Uwezo mdogo
 
Back
Top Bottom