Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio wanasema ukinuna uwe na sababu. 🤣
03 & 25 July kitaumanaHata sio mbali Mtani. 😀
Labda unamaanisha kwa ZanzibarMkuu kuna mchezaji zaidi ya Feisal kwa bongo tunaweza kumzungumza kwa sasa?
Basi tufanye ni za hujuma. Mtafungwa nyingi hizo hizo za hujuma, Dar na KigomaNinachomaanisha ukiona Simba anaifunga Yanga hizo goli basi ujue kuna hujuma. Ila kiuwezo tu hamna uwezo Wa kufunga goli nyingi dhidi ya Yanga
Mungine atakwambia hili haliwezekani. 😀
Teh teh tehBasi tufanye ni za hujuma. Mtafungwa nyingi hizo hizo za hujuma, Dar na Kigoma
Tar 3 na Tar 25 hautaonekana humu,nakuhakikishia hapa utakuwa na hali mbaya sana.Teh teh teh
Hii ngoma ikikamilika Manyaunyau FC watalia!
Nimecheka sana Wallah. Lol.Tar 3 na Tar 25 hautaonekana humu,nakuhakikishia hapa utakuwa na hali mbaya sana.
Yaani umeandika hivi huku ukiwa ushasahau mi na wewe nani ndo huwa haonekani.Tar 3 na Tar 25 hautaonekana humu,nakuhakikishia hapa utakuwa na hali mbaya sana.