Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,274
- 12,244
Naanzaje kutoka online .
Uwe online hivi hivi Mtani. [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe online hivi hivi Mtani. [emoji1787]
😀😀Waswahili wanasema 'mficha maradhi kifo humuumbua'
Mnyama Simba anakwenda kuwaumbua leo.
Simba nguvu moja
Saafi.Naanzaje kutoka online .View attachment 1838895
Vipi bado upo online? 🤣🤣Naanzaje kutoka online .View attachment 1838895
Wera izi biriani. 😀😀😀puresha itoke wapi Shadeeya mi nasubiri kula biriani tu.
Simba nguvu moja
Simba bingwa
🤣🤣🤣Amkeni Amkeniii[emoji86][emoji86][emoji102][emoji102][emoji102]
😀😀😀 Pole Mkuu.Chama langu bwana...siku ukiwa na wasiwasi lenyewe ndo linakimbiza[emoji16]
Jamani huyu kibendera mumemuelewa mbona kwenye slomo pale alipokosa boko goli ye kaingia mpaka ndani.
Mstari kauacha. 🤣🤣🤣
Chama langu bwana...siku ukiwa na wasiwasi lenyewe ndo linakimbiza[emoji16]
Hii ndio dawa ya watu wenye dharau yaani we unawaacha wapige tu kelele. 😀Umeonaaa mwanangu yan kama sio yanga[emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀Mbele ya Madam prezo mchecheto umemuingia. Wanaanza mbeleko