Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mzee bwanaView attachment 1831928Mzee Mpili nayeye yupo
Hivi bro ndo nani huyu mzee?Huyu Mzee bwana
Hizo mbio sizipatii picha na hivi limeshawadhulumu na B 20 zao!!Kuna kilaza kule mkiani uwa hawezi kabisa ushindani,ukimuona yupo mkiani basi ujue Yanga kuna mgogoro au kuna uongozi dhaifu,kwa hili collabo linalokuja siku za usoni pale Yanga tutegemee jitu kubwa sana pale mkiani kususa
Ni shabiki na mwanachama kindakindaki Wa Yanga anatokea Ikwiriri huko. Ana maneno hatariii!! Humwelezi kitu kuhusu Yanga na GSM. Yaani ni aina ya kina Mzee Akili Mali[emoji3]Hivi bro ni nani huyu mzee?
Mzee Mpili.Hivi bro ndo nani huyu mzee?
Nimeona kuna video ameyakubali mabadiliko.😀Ni shabiki na mwanachama kindakindaki Wa Yanga anatokea Ikwiriri huko. Ana maneno hatariii!! Humwelezi kitu kuhusu Yanga na GSM. Yaani ni aina ya kina Mzee Akili Mali[emoji3]
Huyo hawezi wapinga GSM[emoji3].Nimeona kuna video ameyakubali mabadiliko.[emoji3]
Hahahaaa. Hivi sisi na nyie nani alimkimbia mwenzake eti?Jeshi la polisi laahidi kutoa ushirikiano kuhakikisha kuwa mara De Mkunungu watakapoingia uwanjani hawatoki mpaka watakapopokea kipigo cha SHALUBELA kutoka kwa Mnyama Simba.
SIMBA NGUVU MOJA
Shadeeya
puresha itoke wapi Shadeeya mi nasubiri kula biriani tu.Hahahaaa. Ukawii kutoweka Mazzzima.
Haya nijaalie hali yako Mtani vipi puresha ishapanda?
Oooh!! Ala ala lisije kutokea puani tu.puresha itoke wapi Shadeeya mi nasubiri kula biriani tu.
Simba nguvu moja
Simba bingwa
Waswahili wanasema 'mficha maradhi kifo humuumbua'Oooh!! Ala ala lisije kutokea puani tu.
Oooh!! Ala ala lisije kutokea puani tu.
Uwe online hivi hivi Mtani. 🤣Tulia muda wa kuwabatiza kwa maji ya moto haujafika.