Mie nimeipata nikiwa Tunduru huku. Teh teh.mwananchi unapata supu ya mkia kutoka upande gani leo?
Hali ya utulivu ni nzuri kabisa huku Mkundi, Morogoro. Kuna mashabiki wa manunu waliondoka jana asubuhi kwa mbwembwe sana hapa mtaani na vibaby walker vyao. Wamerudi kimyakimwa leo alfajiri, kweli kipigo kizito kile.Wananchi nawapenda hawana kelele nyingi kama wazee wa pori, Tangu Jana jioni mitandao iko kimya, mambo shwari kabisa. TUNAWASHUKURU KWA KUTUFUNGIA MIDOMO HAWA MIKIA.
Mambo ya mkosaji hayo, ubingwa huchukui kwenye mgongo wa YANGA.Ubingwa wa GSMView attachment 1840558
Kabisa,haina ubshi chief.Uzuri wa Zimbwe nae mwepesi lkn Ile shughuli angekutana nayo tena Onyango???hata tuta mbili leo
Mzee ana watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],yule mzee ananikosha sanaMzee ana watu...sio akina Manara kele kele tu wakiona camera,kuwa na watu bwana ushinde big match[emoji23]View attachment 1839796
Yani wewe kila uzi ni kulalamika tu, utaacha lini hii tabia mana unazidi kukonda tu kwa kulalamika lalamika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utopolo kama Utopolo
Mshenzi sana huyu zeruzeru.Juzi karopoka sana yule jamaa.
Hamnazo yule cha ajabu anaulizwa swali la msingi ye anaanza kuropoka ropoka. π€£π€£π€£Mshenzi sana huyu zeruzeru.
Hahahaa. Nilidhani hujaniona shem. πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈNakuona shemela.