Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wananchi nawapenda hawana kelele nyingi kama wazee wa pori, Tangu Jana jioni mitandao iko kimya, mambo shwari kabisa. TUNAWASHUKURU KWA KUTUFUNGIA MIDOMO HAWA MIKIA.
Hali ya utulivu ni nzuri kabisa huku Mkundi, Morogoro. Kuna mashabiki wa manunu waliondoka jana asubuhi kwa mbwembwe sana hapa mtaani na vibaby walker vyao. Wamerudi kimyakimwa leo alfajiri, kweli kipigo kizito kile.
 
Ubingwa wa GSM
20210703_130453.jpg
 
Hivi huyu kibendera mulimwelewa kweli?

Mbona ni kama anataka akafunge yeye. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom