Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Duuh!Bye bye 👋 lamine moro
Hiyo kauli ukiisikia sahizi Mimi nakuwa chizi kama Morrison!Nimeshamsamehe bro.
Japo hivi zile kauli za kwamba mtu akifunga goli moja basi kabahatisha hivi zipo huko kwenu? [emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo Haji ndio alilia hadi Na Mimi nikatoa machozi!Tumchukue Haji Manara HM aje kuwa msemaji wetu, huyu Nugaz Analia lia tu..
Kwenye kikosi cha kagame mchezaji mpya mgeni Wa nje nadhani ni golikipa tu ila naamini wiki ijayo hivi tunaweza shuhudia mambo poaUsajili uko 90%, nyota wapya kuonekana kagame cup
Subiri tukishinda hiyo kesi uone kesi itakayofuata itamhusu nani!Yanga watupu sana. Kesi ya yanga vs morison kabla hajasaini simba wao wanaihusisha simba...raundi hii mnakabiwa juu...furaha za selunde tu
Siyo mbaya tunamtakia heri huko aendako!
Duu hili panga mbona balaa? Shikalo na Said naona kama wangesalia hivi
Duuu mbali kishenzi! Mungu saidia tushinde hii kesi!
Mshinde nini?Subiri tukishinda hiyo kesi uone kesi itakayofuata itamhusu nani!
Pole sana mamiiMtani naona umeamua kuja kunitisha. 😅😅😅
Niseme tu jiandae kupokea maumivu mengine mana tutapiga pale pale panapouma.
Tunamtakia safari ya kienyeji!View attachment 1875308
Uto kama uto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeambiwa huyu mtaalam Mayele Fiston toka AS Vita kashatua bongo kukamilisha kila kitu!Jamani updates za usajili mlizosikia uko?
kama kweli uyu ni mtu kabisaNimeambiwa huyu mtaalam Mayele Fiston toka AS Vita kashatua bongo kukamilisha kila kitu!View attachment 1875375
Ndio kombe gani hili mnasubiri kushinda?Duuu mbali kishenzi! Mungu saidia tushinde hii kesi!
Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa na hofu pia. Mimi nimesema kesi wewe unauliza kombe. Kama kwa kutulia,usiombe tukashinda hiyo kesi!Ndio kombe gani hili mnasubiri kushinda?
nimesikia na makambo pia anatuaNimeambiwa huyu mtaalam Mayele Fiston toka AS Vita kashatua bongo kukamilisha kila kitu!View attachment 1875375