barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Huyu HAKABIKI mkuu...ni shida! Anatema kushoto anafukia kulia.Mtambo wa magoli huu?
Kama fistoni abdulrazak
Tuonane msimu ujao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu HAKABIKI mkuu...ni shida! Anatema kushoto anafukia kulia.Mtambo wa magoli huu?
Kama fistoni abdulrazak
Tuonane msimu ujao
Ooh!! Hivyo hizi habari za kubakiza wa kigeni 3 si za kweli?mmh kidogo sasa hivi hatuanzi upya kabisa kama last season watu wapo wakuanzia
hata mimi sina imani nae kabisa, kwanza mambo ya kurudi rudi tunakuwa kama tumeishiwa. Ajibu nae nasikia anarudiHivi hapa uongozi uko sawa kweli jamani?
Nionavyo huyu akija sidhani kama atakuwa yule Makambo tuliyemzowea sababu kama sikosea amekaa sana nje akiwa Horoya.
Hata na mie napata mashaka si ajabu akija akawa mtupu kabisa.Binafsi sijui kwanini sifurahishwi na usajili wa makambo kama utakuwa ni kweli. Sijui kwanini ila nahisi kama hatofanya vile washabiki wa Yanga watakavyotaraji toka kwake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alilia huku klisema hawa watu ni wabaya sana wanaweza kuniuwa hawa!Hahahaaaa. Alikuwa analilia ugali wake.
Aisee hata mie sikuwahi muonea huruma ila baada ya ile audio anayolia nilijikuta tu.
Hiyo nayo ni changamoto!Mie pia nazifuatilia japo napata tena mashaka timu yetu kufanya vizuri next season hasa baada ya kusikia kwamba tunapukusa tena kikosi na kuanza usajili upya.
Kwa kweli!Anaumwa huyo. Namna tulivyomsaidia eti leo hii analeta dharau. Lol
Kama hizi ni habari za kweli na mie nimtakie safari ya kienyeji kwa kweli. [emoji38]
Aiseee!!! Kazi ipo kama naye anarudi.hata mimi sina imani nae kabisa, kwanza mambo ya kurudi rudi tunakuwa kama tumeishiwa. Ajibu nae nasikia anarudi
Yaani GSM wakitaka nao niwaone ni washenzi na wahuni kama muhindi Wa upande Wa pili aliyenunua Simba milele kwa thamani ndogo kuliko thamani ya Yanga TV kwa miaka 10 basi wamlete huyo Ajib wao!hata mimi sina imani nae kabisa, kwanza mambo ya kurudi rudi tunakuwa kama tumeishiwa. Ajibu nae nasikia anarudi
Hapo ni kamari ngoja tuoneHivi hapa uongozi uko sawa kweli jamani?
Nionavyo huyu akija sidhani kama atakuwa yule Makambo tuliyemzowea sababu kama sikosea amekaa sana nje akiwa Horoya.
Hahahahaaaa. "Mimi nina watoto wadogo nasomesha, mi masikini familia yetu masikini" 😅😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alilia huku klisema hawa watu ni wabaya sana wanaweza kuniuwa hawa!
bado papaa molinga nae kurudi 😅Yaani GSM wakitaka nao niwaone ni washenzi na wahuni kama muhindi Wa upande Wa pili aliyenunua Simba milele kwa thamani ndogo kuliko thamani ya Yanga TV kwa miaka 10 basi wamlete huyo Ajib wao!
Sijui huu ugonjwa utapata tiba lini mana kama sasa kama ni kocha mzuri tunaye na inavyoonekana hapa mwishoni alikuwa ameshaanza kupata kikosi cha kueleweka ambacho kilikuwa kinacheza vizuri tu, sasa kukianza upya kitakachofuata ni kumfukuza , mana ataletewa wachezaji wapya asipo perform vizuri basi ataachwa huku wakisahau kuwa kikosi wamekivuruga.Hiyo nayo ni changamoto!
😀😀😀Yaani GSM wakitaka nao niwaone ni washenzi na wahuni kama muhindi Wa upande Wa pili aliyenunua Simba milele kwa thamani ndogo kuliko thamani ya Yanga TV kwa miaka 10 basi wamlete huyo Ajib wao!
Kweli kabisa Bro , japo kukaa benchi napo ni dalili ya kuwa sio Makambo yule tuliyemzoea.Hapo ni kamari ngoja tuone
Bila kumsahau YIKPE. 😅😅😅😅bado papaa molinga nae kurudi 😅
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hahahahaaaa. "Mimi nina watoto wadogo nasomesha, mi masikini familia yetu masikini" [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]