Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguzeni kuwakamia akina Ngoma.Uchunguzi ufanyike kwenye hizi PENALTY mnazopewa kuna dalili/harufu ya rushwa
redcard pia kila mechi lazima mpunguziwe mchezaji mmoja kutoka timu pinzani pumbavuuu!
Mwaka 1975 kulitokezea kile kilichokuja kuitwa Mgogoro wa Yanga kufuatia Yanga kushindwa kutetea taji la Ubingwa wa Afrika ya Mashariki na Kati nchini Kenya. Baada ya kurejea, Kocha Tambwe Leya akawatuhumu wachezaji nyota wanne wa timu hiyo na akawakataa kikosini kwake. Hao walikuwa ni Sunday Manara, Gibson Sembuli, Omar Kapera na Boy Idd (Wickens). Akaamua kuibua chipukizi akina Kaburu na Kampambe. Uongozi wa wakati huo ukaelekea kutokubaliana na uamuzi huo kiasi cha kutofautiana na baadhi ya wanachama wakereketwa wa wakati huo. Hawa viongozi akina Mangara Tabu (Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali) na Shirazi Sharif walikuwa ndio kila kitu kwa Yanga, na wakahisi kwamba kwa kuogopa kuelemewa na timu, waunga mkono Kocha Tmbwe wangeregeza msimamo. Badala yake ikawa ni viongozi kufukuzwa kwa bakora klabuni. Zama hizo za sinema za akina Jim Kelly, usharobaro ni kuwa na nywele kubwa (Afro do), shati ya kubana (slim fit), suruali iliyochanua chini (boogaloo) na viatu vya buti vyenye visigino vilivyoinuka (rise on). Kati ya vyote hivyo, hivyo viatu vilivyotamkwa kienyeji 'raizoni' vilikuwa ndio bei mbaya zaidi. Kuvivaa ilikuwa alama mojawapo ya uwezo mkubwa, tofauti na kandambili. Wale wanachama wanyonge waliowafukuza viongozi wakati wote wa mgogoro ule wakaitwa na kujiita Yanga 'kandambili' dhidi ya Yanga Raizoni ya waliokuwa nazo. Kwa kuwa hawa kandambili ndio hatimaye waliobakiwa na timu, imeishia Yanga kuitwa hivyo hadi leo. Raizoni haitajwi kwa sababu hatimaye ndio waliounda Zamalek (ya Dar), baadaye wakajiunga na Nyota Afrika ya Morogoro na hatimaye wakaasisi Pan African. Mgogoro huo ulivyokuwa mkubwa, ukaishia litanies akina mama waliofungasha vizuri, mzigo wenyewe ukawa unaitwa Mgogogoro wa Yanga kitaani.Hivi ni kwa nini KANDAMBILI imekuwa ikitumiwa kama alama ya kuiwakilisha timu ya Yanga na waandishi wa habari wengi hasa wachora katuni!? View attachment 337822
Hiyo ndiyo sababu.Punguzeni kuwakamia akina Ngoma.
Duuu mkuu umenifumbua macho sana cz nlikuwa gzan totoro. Umenichekesha sn ulipoongelea muvi za kna Jim Kelly.Mwaka 1975 kulitokezea kile kilichokuja kuitwa Mgogoro wa Yanga kufuatia Yanga kushindwa kutetea taji la Ubingwa wa Afrika ya Mashariki na Kati nchini Kenya. Baada ya kurejea, Kocha Tambwe Leya akawatuhumu wachezaji nyota wanne wa timu hiyo na akawakataa kikosini kwake. Hao walikuwa ni Sunday Manara, Gibson Sembuli, Omar Kapera na Boy Idd (Wickens). Akaamua kuibua chipukizi akina Kaburu na Kampambe. Uongozi wa wakati huo ukaelekea kutokubaliana na uamuzi huo kiasi cha kutofautiana na baadhi ya wanachama wakereketwa wa wakati huo. Hawa viongozi akina Mangara Tabu (Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali) na Shirazi Sharif walikuwa ndio kila kitu kwa Yanga, na wakahisi kwamba kwa kuogopa kuelemewa na timu, waunga mkono Kocha Tmbwe wangeregeza msimamo. Badala yake ikawa ni viongozi kufukuzwa kwa bakora klabuni. Zama hizo za sinema za akina Jim Kelly, usharobaro ni kuwa na nywele kubwa (Afro do), shati ya kubana (slim fit), suruali iliyochanua chini (boogaloo) na viatu vya buti vyenye visigino vilivyoinuka (rise on). Kati ya vyote hivyo, hivyo viatu vilivyotamkwa kienyeji 'raizoni' vilikuwa ndio bei mbaya zaidi. Kuvivaa ilikuwa alama mojawapo ya uwezo mkubwa, tofauti na kandambili. Wale wanachama wanyonge waliowafukuza viongozi wakati wote wa mgogoro ule wakaitwa na kujiita Yanga 'kandambili' dhidi ya Yanga Raizoni ya waliokuwa nazo. Kwa kuwa hawa kandambili ndio hatimaye waliobakiwa na timu, imeishia Yanga kuitwa hivyo hadi leo. Raizoni haitajwi kwa sababu hatimaye ndio waliounda Zamalek (ya Dar), baadaye wakajiunga na Nyota Afrika ya Morogoro na hatimaye wakaasisi Pan African. Mgogoro huo ulivyokuwa mkubwa, ukaishia litanies akina mama waliofungasha vizuri, mzigo wenyewe ukawa unaitwa Mgogogoro wa Yanga kitaani.
Mbeleko fcUchunguzi ufanyike kwenye hizi PENALTY mnazopewa kuna dalili/harufu ya rushwa
redcard pia kila mechi lazima mpunguziwe mchezaji mmoja kutoka timu pinzani pumbavuuu!
Toto letu leo linawabaka hapo taifa,na kutufanya tuendelee kuongoza ligiMbeleko fc
Yanga inawanyima raha sanavyura fc wanaojiita wakimataifa![]()
.....Wa Mwaka GANI?NO! Yanga bingwa!
...Wa nini? Wa mwaka gani? Kuanzaia LINI hadi LINI? JF ni mahali ambapo kumbukumbu zatakiwa kuwekwa sawa. Sawasawa?simba bingwa!
juzi, jana na leo.....Wa Mwaka GANI?
nakubaliana na ww kabisa ni zero kwa sababu imechukua ubingwa wa league mara nyingi zaidi ya nyau....Yanga team haina uwanja nakuanzishwa kwake uko miaka kenda team inaongozwa kichawi ndio maana mafamikio Zero
Ubingwa wa ligi ni uwezo wa kuonga sio kiwango mwenye kuonga sana waamuzi na makamisaa ndio bingwa ndio maana club bingwa africa uwa hamfiki mbali hakuna kuonga kulenakubaliana na ww kabisa ni zero kwa sababu imechukua ubingwa wa league mara nyingi zaidi ya nyau....
kwani nyie ambao hamuongi mlikuwa mnafika wapi...Ubingwa wa ligi ni uwezo wa kuonga sio kiwango mwenye kuonga sana waamuzi na makamisaa ndio bingwa ndio maana club bingwa africa uwa hamfiki mbali hakuna kuonga kule
Sisi wakina nanikwani nyie ambao hamuongi mlikuwa mnafika wapi...
nyie nyau scSisi wakina nani
Siwajui haonyie nyau sc