Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ishi kwa mazoea tu hivyo hivyo. Ila naiona muvi hatari pale Said atapocheza nyuma ya Herritier na Fiston Mayele

Nakueleza uhalisia tu wala sio mazoea mtambo wa magoli uko wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ishi kwa mazoea tu hivyo hivyo. Ila naiona muvi hatari pale Said atapocheza nyuma ya Herritier na Fiston Mayele
Binafsi sijui kwanini sifurahishwi na usajili wa makambo kama utakuwa ni kweli. Sijui kwanini ila nahisi kama hatofanya vile washabiki wa Yanga watakavyotaraji toka kwake
 
Mnasajili bonge la mchezaji lakini mnampeleka kufanya training uwanja wa vumbi wa shule ya msingi hatimaye mchezaji anaanza kusikitika kama calinhos kisha anaondoka msimu ujao mnasajili tena..Utopolo..
 
Binafsi sijui kwanini sifurahishwi na usajili wa makambo kama utakuwa ni kweli. Sijui kwanini ila nahisi kama hatofanya vile washabiki wa Yanga watakavyotaraji toka kwake
Daaa! Mimi ninaimani nae japo muda ndio msema kweli!
 
Sijaona taarifa rasmi ya klabu japo nasikia hivyo nikajua ni tetesi tu. Ingekuwa vema angekuwepo mana ana maarifa mengi japo kama kaondoka si mbaya pia mana huenda wamezingatia Hall yake ya majeruhi. Kama kaondoka na kutoa hiyo kauli inayosemwa kusemwa na yeye basi nae ni Wa kienyeji tu!
 
πŸ˜…πŸ˜… kwa age imeenda sana ndio maana akiumia anachelewa kupona
 
Mie pia nazifuatilia japo napata tena mashaka timu yetu kufanya vizuri next season hasa baada ya kusikia kwamba tunapukusa tena kikosi na kuanza usajili upya.
mmh kidogo sasa hivi hatuanzi upya kabisa kama last season watu wapo wakuanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…