Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi hapa uongozi uko sawa kweli jamani?

Nionavyo huyu akija sidhani kama atakuwa yule Makambo tuliyemzowea sababu kama sikosea amekaa sana nje akiwa Horoya.
hata mimi sina imani nae kabisa, kwanza mambo ya kurudi rudi tunakuwa kama tumeishiwa. Ajibu nae nasikia anarudi
 
Binafsi sijui kwanini sifurahishwi na usajili wa makambo kama utakuwa ni kweli. Sijui kwanini ila nahisi kama hatofanya vile washabiki wa Yanga watakavyotaraji toka kwake
Hata na mie napata mashaka si ajabu akija akawa mtupu kabisa.

Nadhani ifikie hatua uongozi uende na wakati ulivyo sababu tunahitaji kusonga mbele na sio kurudi nyuma.
 
Hahahaaaa. Alikuwa analilia ugali wake.

Aisee hata mie sikuwahi muonea huruma ila baada ya ile audio anayolia nilijikuta tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alilia huku klisema hawa watu ni wabaya sana wanaweza kuniuwa hawa!
 
hata mimi sina imani nae kabisa, kwanza mambo ya kurudi rudi tunakuwa kama tumeishiwa. Ajibu nae nasikia anarudi
Yaani GSM wakitaka nao niwaone ni washenzi na wahuni kama muhindi Wa upande Wa pili aliyenunua Simba milele kwa thamani ndogo kuliko thamani ya Yanga TV kwa miaka 10 basi wamlete huyo Ajib wao!
 
Hiyo nayo ni changamoto!
Sijui huu ugonjwa utapata tiba lini mana kama sasa kama ni kocha mzuri tunaye na inavyoonekana hapa mwishoni alikuwa ameshaanza kupata kikosi cha kueleweka ambacho kilikuwa kinacheza vizuri tu, sasa kukianza upya kitakachofuata ni kumfukuza , mana ataletewa wachezaji wapya asipo perform vizuri basi ataachwa huku wakisahau kuwa kikosi wamekivuruga.
 
Yaani GSM wakitaka nao niwaone ni washenzi na wahuni kama muhindi Wa upande Wa pili aliyenunua Simba milele kwa thamani ndogo kuliko thamani ya Yanga TV kwa miaka 10 basi wamlete huyo Ajib wao!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…