Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hivi kweli Balama Mapinduzi ndio tushampoteza kiasi hicho? Yaani pamoja na kwenda sauzi lakininwapi! Hapo ndio tunapoanza kuamini hii inayoitwa Misumari!
Hizi habari za misumari tumuulizage Yikpe eti? 😀😀😀😀

Japo kwa upande wangu huwa naona Mapinduzi aliumia sana lakini matibabu aliyoyapata hayakuwa serious ya kumfanya apone kwa haraka.
 
Yah!! Naisubiri kwa hamu nione hao wachezaji wapya waliosemwa na Bumbuli ni akina nani?
Kwa Leo sioni jipya sana mana wachezaji waliotajwa awali kushiriki haya mashindano ni wale wale tulionao isipokuwa kuna wachezaji kama saba hivi Wa kutoka kikosi B na golikipa toka Burundi. Na sijui kama Fiston Mayele atakuwa sehemu ya kikosi hicho
 
Hizi habari za misumari tumuulizage Yikpe eti? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Japo kwa upande wangu huwa naona Mapinduzi aliumia sana lakini matibabu aliyoyapata hayakuwa serious ya kumfanya apone kwa haraka.
Halafu aliyemuumiza nae kaumia na kakaa kwa muda Wa kutosha sijui ni matibabu gani wachezaji wetu wanapatiwa "Mustafa Yassin"
 
Kwa Leo sioni jipya sana mana wachezaji waliotajwa awali kushiriki haya mashindano ni wale wale tulionao isipokuwa kuna wachezaji kama saba hivi Wa kutoka kikosi B na golikipa toka Burundi. Na sijui kama Fiston Mayele atakuwa sehemu ya kikosi hicho
Ooh. Basi nalipohojiwa nilivyomuona anajibu kwa mashamsham nikajua wapo wapya wengi. Duuh.
 
Halafu aliyemuumiza nae kaumia na kakaa kwa muda Wa kutosha sijui ni matibabu gani wachezaji wetu wanapatiwa "Mustafa Yassin"
Inashangaza sana ujue.

Itakuwa ni matibabu haya haya ya diclopar na paracetamol. Teh.

Haiwezekani watu hawaponi na siku zinasonga tu mana kwa ukimya huu hata recovery yao itakuwa ya pole pole sana.
 
Hawana uwezo wa kuleta wachezaji wazuri. Na hata wakipata wazuri, hao wazuri huishia kwa Simba. Kuna sintofahamu nyingi kuhusu usajili
Hao wazuri walokuja wakaishia Simba ni kina nani ukiondoa chizi Morrison? Hawa kina Mukoko na Kisinda si wazuri!
 
Inashangaza sana ujue.

Itakuwa ni matibabu haya haya ya diclopar na paracetamol. Teh.

Haiwezekani watu hawaponi na siku zinasonga tu mana kwa ukimya huu hata recovery yao itakuwa ya pole pole sana.
Daaa acha tu!
 
Utadhania hajawahi cheza Derby. [emoji854]

Nina hakika tusingekuwa pungufu hata hilo goli moja msingelipata.
Mbona mlivyokua kamil dk zote 45 hamkupata hilo goli nyie

Hebu tulien ,tengenezen timu kwanza, hamna mnapokimbilia
 
Hao wazuri walokuja wakaishia Simba ni kina nani ukiondoa chizi Morrison? Hawa kina Mukoko na Kisinda si wazuri!
Mjitahd mlete watu , manake nafasi yenu ya pili iko matatani, Azam anafanya mambo huko
 
Hao wazuri walokuja wakaishia Simba ni kina nani ukiondoa chizi Morrison? Hawa kina Mukoko na Kisinda si wazuri!
Mkuu umesahau kuwa yule Luis Miquissone na laly Bwalya iilipaswa kiwa ni mali ya Yanga lakini Yanga ikafanyiwa umafia na Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…