Mbona tulivyokuwa wote nyie hamkupata hilo goli?Mbona mlivyokua kamil dk zote 45 hamkupata hilo goli nyie
Hebu tulien ,tengenezen timu kwanza, hamna mnapokimbilia
Mbona Simba wenyewe walikanusha?Mkuu umesahau kuwa yule Luis Miquissone na laly Bwalya iilipaswa kiwa ni mali ya Yanga lakini Yanga ikafanyiwa umafia na Simba
Hahahaaaa. Nimecheka kama mazuri. Lol.Mbona mlivyokua kamil dk zote 45 hamkupata hilo goli nyie
Hebu tulien ,tengenezen timu kwanza, hamna mnapokimbilia
U p e n d a v y o Ntani.Sijui niende nikawachawie tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ujue hata nyie msingelipata vile vile, watu wenyewe mlikua mmejipanga kulinda tuHahahaaaa. Nimecheka kama mazuri. Lol.
Ikawaje na nyie hamkupata goli.
Hao wachezaj ilikua waende Yanga, Hasa Bwalya, manake hadi watu wa kwenda kumleta mlituma, mdomo ukawaponza , wakati kina disman ten wanatua zambia Bwalya akatua hapa, wangekaa kimya angekua mchezaj wa Yanga huyu ilikua karibu 80%Mbona tulivyokuwa wote nyie hamkupata hilo goli?
Kwa hiyo ndio mana wamemleta Jimmy Konde Julio kimya kimya!?[emoji4]Hao wachezaj ilikua waende Yanga, Hasa Bwalya, manake hadi watu wa kwenda kumleta mlituma, mdomo ukawaponza , wakati kina disman ten wanatua zambia Bwalya akatua hapa, wangekaa kimya angekua mchezaj wa Yanga huyu ilikua karibu 80%
Bado anahitaijika mana ana maarifa sana labda hakupata watu wazuri Wa kuungana naeKiungo wa Kimataifa wa Burundi anayekipiga Katika Klabu ya Yanga Saidi Ntibazonkiza "ANTIBIOTIC" Amekanusha Uzushi unaosambaa kuwa ameachana Na Klabu ya Yanga
-
Kiungo Huyo Amesema "Mimi Bado Ni Mchezaji wa Yanga na Bado Ninamkataba wa Mwaka Mmoja na Yanga kwa Sasa Niko Likizo Nyumbani Burundi"
-
Mnasemaje Mashabiki na Wapenzi Wa Yanga ? "Antibiotic" Yupo Yupo Sana Jagwani
Duuh!! Ila Mitandaoni huwa kuna mambo sana sasa wale waliosambaza habari za uongo lengo lao lilikuwa lipi?Kiungo wa Kimataifa wa Burundi anayekipiga Katika Klabu ya Yanga Saidi Ntibazonkiza "ANTIBIOTIC" Amekanusha Uzushi unaosambaa kuwa ameachana Na Klabu ya Yanga
-
Kiungo Huyo Amesema "Mimi Bado Ni Mchezaji wa Yanga na Bado Ninamkataba wa Mwaka Mmoja na Yanga kwa Sasa Niko Likizo Nyumbani Burundi"
-
Mnasemaje Mashabiki na Wapenzi Wa Yanga ? "Antibiotic" Yupo Yupo Sana Jagwani
😅😅😅“Heritier Makambo amekwea pipa Kuja Tanzania kukamilisha Usajili wa kujiunga na Klabu ya Yanga” kitenge
Wanahofia tu maamuzi ya CAS ikiwa yataenda vibaya upande Wa mchezaji wao wanafahamu kitachotokea! Hivyo tuwasamehe tu wamechanganyikiwa!Duuh!! Ila Mitandaoni huwa kuna mambo sana sasa wale waliosambaza habari za uongo lengo lao lilikuwa lipi?
Naamini atatusaidia mana anachezea timu ya taifa ya Congo si kitu chepesi sana!NIMEONA KWENYE PAGE YA CLUB HUYO MAYELE AMESHAMWAGA WINO.
VIPI WAKUU HAPA NAPO TUTEGEMEE YAPI?
SifuriNIMEONA KWENYE PAGE YA CLUB HUYO MAYELE AMESHAMWAGA WINO.
VIPI WAKUU HAPA NAPO TUTEGEMEE YAPI?
Mmh!Sifuri
Larry Bwalya alikuwa scouted na Yanga, tukaaminishwa anakuja Yanga, mwisho wa siku akaenda Simba.Hao wazuri walokuja wakaishia Simba ni kina nani ukiondoa chizi Morrison? Hawa kina Mukoko na Kisinda si wazuri!
Ni historia hiyo Shadeeya. Imeshaandikwa na haifutiki.Uwiii!! Hadi nishasahau Mwenzio. Teh. 😅