Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mbona tulivyokuwa wote nyie hamkupata hilo goli?
Hao wachezaj ilikua waende Yanga, Hasa Bwalya, manake hadi watu wa kwenda kumleta mlituma, mdomo ukawaponza , wakati kina disman ten wanatua zambia Bwalya akatua hapa, wangekaa kimya angekua mchezaj wa Yanga huyu ilikua karibu 80%
 
Kwa hiyo ndio mana wamemleta Jimmy Konde Julio kimya kimya!?[emoji4]
 
Kiungo wa Kimataifa wa Burundi anayekipiga Katika Klabu ya Yanga Saidi Ntibazonkiza "ANTIBIOTIC" Amekanusha Uzushi unaosambaa kuwa ameachana Na Klabu ya Yanga
-
Kiungo Huyo Amesema "Mimi Bado Ni Mchezaji wa Yanga na Bado Ninamkataba wa Mwaka Mmoja na Yanga kwa Sasa Niko Likizo Nyumbani Burundi"
-
Mnasemaje Mashabiki na Wapenzi Wa Yanga ? "Antibiotic" Yupo Yupo Sana Jagwani
 
Matawi yanafunguliwa
Screenshot_20210801-163518.jpg
 
Kiungo wa Kimataifa wa Burundi anayekipiga Katika Klabu ya Yanga Saidi Ntibazonkiza "ANTIBIOTIC" Amekanusha Uzushi unaosambaa kuwa ameachana Na Klabu ya Yanga
-
Kiungo Huyo Amesema "Mimi Bado Ni Mchezaji wa Yanga na Bado Ninamkataba wa Mwaka Mmoja na Yanga kwa Sasa Niko Likizo Nyumbani Burundi"
-
Mnasemaje Mashabiki na Wapenzi Wa Yanga ? "Antibiotic" Yupo Yupo Sana Jagwani
Bado anahitaijika mana ana maarifa sana labda hakupata watu wazuri Wa kuungana nae
 
Kiungo wa Kimataifa wa Burundi anayekipiga Katika Klabu ya Yanga Saidi Ntibazonkiza "ANTIBIOTIC" Amekanusha Uzushi unaosambaa kuwa ameachana Na Klabu ya Yanga
-
Kiungo Huyo Amesema "Mimi Bado Ni Mchezaji wa Yanga na Bado Ninamkataba wa Mwaka Mmoja na Yanga kwa Sasa Niko Likizo Nyumbani Burundi"
-
Mnasemaje Mashabiki na Wapenzi Wa Yanga ? "Antibiotic" Yupo Yupo Sana Jagwani
Duuh!! Ila Mitandaoni huwa kuna mambo sana sasa wale waliosambaza habari za uongo lengo lao lilikuwa lipi?
 
Wanahofia tu maamuzi ya CAS ikiwa yataenda vibaya upande Wa mchezaji wao wanafahamu kitachotokea! Hivyo tuwasamehe tu wamechanganyikiwa!
 
Hao wazuri walokuja wakaishia Simba ni kina nani ukiondoa chizi Morrison? Hawa kina Mukoko na Kisinda si wazuri!
Larry Bwalya alikuwa scouted na Yanga, tukaaminishwa anakuja Yanga, mwisho wa siku akaenda Simba.
Ame wa coastal Union hivyo hivyo. Hata Luis inasemekana viongozi walifuatwa wamchukue Mara baada ya ile mechi ya ud songo na Simba.

List ni ndefu wengine waongezee.

Kimsingi hakuna usiri katika scouting ya wachezaji. pengine ni biashara Mimi sijui.
 
Back
Top Bottom