Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mtani nakuona uko kwenye furaha ya kiwango chake [emoji1][emoji1][emoji1]

Ndiyo wakati wenu huu wakufurahi mnenepe nenepe kabla ligi haijaanza.
πŸ˜€πŸ˜€ Huwa tunazipokea hizi kejeli zenu Mtani sema msije shangaa ndo tunanenepa mazzima.
 
Hahahahaha lol! Jiwe si limekufa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ labda itabidi uende kwenye kaburi la jiwe kule chato ukalishangilie 🀣🀣🀣🀣🀣 unaihusudu rangi ya msimbazi ila unaona aibu KUSLIM. 😜😜 Ajabu kubwa leo hujalala hadi saa hizi.
Uwiii nilishashindwa kwa kweli mie bora nishabikie jiwe πŸ˜€πŸ˜€. Lol

"DaimaMbeleNyumaMwiko"
 
Mimi walivyomsajili Makambo tu nimewatoa credit viongozi. Ni wazi usajili unafanyika sio kwa kufuata ripoti ya benchi la ufundi. Kwasababu Nabii hawezi kuwa kafanya scout kwa makambo na ashawishike wakati hakuonesha kiwango chochote kile ni sawa sawa na kwa Ajib Nabi hakumuona aking'ara hivyo hawezi kupendekeza asajili. Huo ni usajili wa viongozi kwa kukariri misimi ya nyuma ilipita kuwa waling'aa wakiwa Yanga basi watang'aa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…