Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

WAZIRI JUNIOR atupishe TU kwakweli mchezaji gan hata HABADILIKI anacheza kizamani

Ilibid mashindano Kama haya ya CECAFA aonyeshe uwezo ilikutuprove wrong

NI MCHEZAJI WA TIMU NDOGO

Pia kocha wa makipa abaki kuwa wamakipa TU tupate kocha msaidiz atakayesaidiana na NABY

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Timu imeonyesha uwezo mdogo kimchezo
 
IMG_4115.jpg

Nyie manyani fc mnalala sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi walivyomsajili Makambo tu nimewatoa credit viongozi. Ni wazi usajili unafanyika sio kwa kufuata ripoti ya benchi la ufundi. Kwasababu Nabii hawezi kuwa kafanya scout kwa makambo na ashawishike wakati hakuonesha kiwango chochote kile ni sawa sawa na kwa Ajib Nabi hakumuona aking'ara hivyo hawezi kupendekeza asajili. Huo ni usajili wa viongozi kwa kukariri misimi ya nyuma ilipita kuwa waling'aa wakiwa Yanga basi watang'aa tena
Inasikitisha sana aisee.

Tunachofanyaga ni kama kupiga ramli.
 
Kabla ya fainali kule Kigoma nilimuona Mzee Mpili you tube akisema ameenda ofisini kwa Eng. Hersi akamkuta huko Ajib,nikacheka mana alikuwa anachekesha ila nikawaza kwamba Hersi huenda analazimisha usajili Wa Ajib kitu ambacho si sawa kabisa. Hiyo clip nadhani ipo ukiingia you tube ukiandika Mzee Mpili amfuma Ajibu kwa Eng. Hersi utaiona
 
Duuh!! Huyu Hersi huyu 🤔
 
Back
Top Bottom