Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Timu imeonyesha uwezo mdogo kimchezoWAZIRI JUNIOR atupishe TU kwakweli mchezaji gan hata HABADILIKI anacheza kizamani
Ilibid mashindano Kama haya ya CECAFA aonyeshe uwezo ilikutuprove wrong
NI MCHEZAJI WA TIMU NDOGO
Pia kocha wa makipa abaki kuwa wamakipa TU tupate kocha msaidiz atakayesaidiana na NABY
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hii nayo nimekutana nayo asubuhi hii sijui inatokea wapi na ukweli wake ni upi!View attachment 1876056
Aisee kwa hilo hata Mimi siungani nalo. Umekuta nini Kariakoo ndugu?Kama AJIB Atarudi Tena yanga walah timu yangu nitaidharau milele daima
Kwa hiki nilichokutana nacho hapa kariakoo n dhahir Ajib anasajiliwa yanga
...ubingwa tutausikia kwenye bomba Kama hili litatokea.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wale wachezaji wa Express walituzidi nguvu, akili , yaani karibia kila kitua aisee.Hali mbaya kwa mkapa
Inasikitisha sana aisee.Mimi walivyomsajili Makambo tu nimewatoa credit viongozi. Ni wazi usajili unafanyika sio kwa kufuata ripoti ya benchi la ufundi. Kwasababu Nabii hawezi kuwa kafanya scout kwa makambo na ashawishike wakati hakuonesha kiwango chochote kile ni sawa sawa na kwa Ajib Nabi hakumuona aking'ara hivyo hawezi kupendekeza asajili. Huo ni usajili wa viongozi kwa kukariri misimi ya nyuma ilipita kuwa waling'aa wakiwa Yanga basi watang'aa tena
Makuubwa. π€Kama AJIB Atarudi Tena yanga walah timu yangu nitaidharau milele daima
Kwa hiki nilichokutana nacho hapa kariakoo n dhahir Ajib anasajiliwa yanga
...ubingwa tutausikia kwenye bomba Kama hili litatokea.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Na mie nasubiria nijue amekuta nini?ππAisee kwa hilo hata Mimi siungani nalo. Umekuta nini Kariakoo ndugu?
Sijaelewa malengo ya kushiriki haya mashindano yalikuwa yepi!Wale wachezaji wa Express walituzidi nguvu, akili , yaani karibia kila kitua aisee.
Kuwachosha madogo tu.Sijaelewa malengo ya kushiriki haya mashindano yalikuwa yepi!
Duuh!! Huyu Hersi huyu π€Kabla ya fainali kule Kigoma nilimuona Mzee Mpili you tube akisema ameenda ofisini kwa Eng. Hersi akamkuta huko Ajib,nikacheka mana alikuwa anachekesha ila nikawaza kwamba Hersi huenda analazimisha usajili Wa Ajib kitu ambacho si sawa kabisa. Hiyo clip nadhani ipo ukiingia you tube ukiandika Mzee Mpili amfuma Ajibu kwa Eng. Hersi utaiona
nasikia ni mikono buku uyuTumemsaini Djigui Diarra golikipa kutoka Mali
djuma shaban alitambilishwa? Au tushapigwaTumemsaini Djigui Diarra golikipa kutoka Mali
Na iwe kweli.Tumemsaini Djigui Diarra golikipa kutoka Mali
Sawa.Wazee shikalo na metacha wametemwa uko