Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20210818_070738.jpg
 
Utopolo haina hela za kumnunua Luis labda mashabiki na viongozi muuze figo.
Nani anamtaka Luis wewe na akili yako? Luis ni mchezaji wa kawaida mno mnamkuza tu Ngoja umuone na umfananishe na Jesus Moloko mavitu yake.Tena kwa faida tu huyu Moloko Bado Ni kijana mdogo atawatafuna sana Simba
 
Naye mumuuze bil 2.1 basi
 
Back
Top Bottom