onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Na mie kanishangaza eti. 🤣🤣🤣 Leo hii Yanga ni matajiri. 🤣🤣Kwani si nilisikia Yanga ni masikini na hawana hela [emoji1787]
Jezi za Msimu huu sio mchezo.
Mie hiyo ya Away inanihusu kwa kweli.Zote kali sana mkuu ila me napenda sana black kwaiyo ile imegusa kabisa roho
Mie hiyo ya Away inanihusu kwa kweli.
Mkuu hiiJamani kuna zile jezi zina mistari mikubwa miwili ya kushuka chini, zipo zenye kola na zingine hazina kola naombeni mniwekee hapa kabla sijazivamia huko dukani. GSM kwenye jezi wameuaaa!!
Au hiiJamani kuna zile jezi zina mistari mikubwa miwili ya kushuka chini, zipo zenye kola na zingine hazina kola naombeni mniwekee hapa kabla sijazivamia huko dukani. GSM kwenye jezi wameuaaa!!
Aisee!! Sioni cha kukosoa safari hii.
Hata last season zilikuwa kali,Aisee!! Sioni cha kukusoa safari hii.
Last season waliponda sana ile ramani.
Hii kitu ya moto,Wape Salaaaaaaaam!View attachment 1908130
Si unajua Mikia tena ila hizi zimewafumba mdomo hamna pakukosoa.Hata last season zilikuwa kali,
Ila Away nitanunua imenitoa roho
Sema ni kwa vile anapigania ugali wake mana kikawaida kawaida kama mimi daima haiezi tokea nikawa 5imba fans hata kwa kuigiza siwezi. Lol.Nchi ngumu sana hii.View attachment 1908126
#SisiTunaWatu.Wape Salaaaaaaaam!View attachment 1908130