Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hakika na huwa hatuna jambo dogo. Teh
Hakika ila mtani sema kuna muda mnatamani kusiwe na ligi yaani iwe hivi hivi na homa la usajili tu maana hiki kipindi mnakua na furaha sana.
 
Hahahaa! Tunajua mnayasena haya Mtani sababu tulipuyanga sana misimu minne nyuma hivyo niseme tu season hii tunafuta makosa.

Hivyo naamini hii furaha ni endelevu kwa Timu ya na Wananchi kwa maana hiyo ligi ianze tu 😎 tupate kuonyeshana makali.
 
Hahahaa! Mnayasena haya Mtani sababu tulipuyanga sana misimu minne nyuma hivyo niseme tu season hii tunafuta makosa.

Hivyo naamini hii furaha ni endelevu kwa Timu ya Wananchi kwa maana hiyo ligi ianze tu 😎 tupate kuonyeshana makali.
Timu ikiwa nzuri hata lawama kwa Karia na TFF zitapungua....
Waswahili tunasema kila mtu ashinde mechi zake
 
Kweli kabisa Mtani na pia ligi kama ligi inakuwa na heshima fulani.

Haswaaa kila mmoja ashinde mechi zake tena bila jannja jannja. 😀
 
Kuna muda nafikiria mara ghafla bin vuu Yanga imeclick. Timu inapata matokeo pira biriani huku Mnyama tia maji tia maji. Sipati picha jinsi hilo vibe la bamutu ba Kongo nchi nzima tutacheza mayeno
 
Hahahaaa. Na ndo tunachokiomba Mtani na ikitokea hivyo mutafute pa kujificha kwa kweli. 😀😀

Mana tutawakondesha kwa maneno. Teh teh.
 
Back
Top Bottom