Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Hakika ila mtani sema kuna muda mnatamani kusiwe na ligi yaani iwe hivi hivi na homa la usajili tu maana hiki kipindi mnakua na furaha sana.Hakika na huwa hatuna jambo dogo. Teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika ila mtani sema kuna muda mnatamani kusiwe na ligi yaani iwe hivi hivi na homa la usajili tu maana hiki kipindi mnakua na furaha sana.Hakika na huwa hatuna jambo dogo. Teh
Hahahaa! Tunajua mnayasena haya Mtani sababu tulipuyanga sana misimu minne nyuma hivyo niseme tu season hii tunafuta makosa.Hakika ila mtani sema kuna muda mnatamani kusiwe na ligi yaani iwe hivi hivi na homa la usajili tu maana hiki kipindi mnakua na furaha sana.
Timu ikiwa nzuri hata lawama kwa Karia na TFF zitapungua....Hahahaa! Mnayasena haya Mtani sababu tulipuyanga sana misimu minne nyuma hivyo niseme tu season hii tunafuta makosa.
Hivyo naamini hii furaha ni endelevu kwa Timu ya Wananchi kwa maana hiyo ligi ianze tu 😎 tupate kuonyeshana makali.
Kweli kabisa Mtani na pia ligi kama ligi inakuwa na heshima fulani.Timu ikiwa nzuri hata lawama kwa Karia na TFF zitapungua....
Waswahili tunasema kila mtu ashinde mechi zake
Kuna muda nafikiria mara ghafla bin vuu Yanga imeclick. Timu inapata matokeo pira biriani huku Mnyama tia maji tia maji. Sipati picha jinsi hilo vibe la bamutu ba Kongo nchi nzima tutacheza mayenoKweli kabisa Mtani na pia ligi kama ligi inakuwa na heshima fulani.
Haswaaa kila mmoja ashinde mechi zake tena bila jannja jannja. 😀
Hahahaaa. Na ndo tunachokiomba Mtani na ikitokea hivyo mutafute pa kujificha kwa kweli. 😀😀Kuna muda nafikiria mara ghafla bin vuu Yanga imeclick. Timu inapata matokeo pira biriani huku Mnyama tia maji tia maji. Sipati picha jinsi hilo vibe la bamutu ba Kongo nchi nzima tutacheza mayeno
Hahahaha na mnajua kupiga vuvuzelaHahahaaa. Na ndo tunachokiomba Mtani na ikitokea hivyo mutafute pa kujificha kwa kweli. 😀😀
Mana tutawakondesha kwa maneno. Teh teh.
Nmekwazika kinoma huyu jamaa anaujinga mwingiHivi hili la Manara mnalionaje jamani? [emoji853][emoji853][emoji853]
Hata mie Mkuu.
Inabidi viongozi wacheze naye kwa akili hasaa.
Mtani unauzungumziaje usajili wa semaji la TaifaHahahaha na mnajua kupiga vuvuzela
Kwa upande wangu naona tumepigwa kama mlivyopigwa Mtani. 🙁Mtani unauzungumziaje usajili wa semaji la Taifa
Ha ha ha...komaeni naeKwa upande wangu naona tumepigwa kama mlivyopigwa Mtani. [emoji853]
Usajili wake haushtuiKwa upande wangu naona tumepigwa kama mlivyopigwa Mtani. 🙁
Ni vile tu uongozi umeridhia lakini yule jamaa anahitaji umakinu wa hali ya juu.Ha ha ha...komaeni nae
Maisha ya sasa kila sehemu ni unafki tuNi vile tu uongozi umeridhia lakini yule jamaa anahitaji umakinu wa hali ya juu.
Na usije shangaa siku akitibuliwa akaja elezea mchakato wote ulivyokuwa mpaka akatambulishwa hii siku ya leo.