Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Shadeeya Kama unavyoona picha hiyo....
Sasa tutawaambia nini watu Ijumapili. View attachment 1909870
Tuache maskhara Mtani ujue mie sio mmoja ya waliokuwa wanaamini hii kitu.

Ila nimemsoma yule Haji Mfikirwa amesema haishindikani Konde Boy kuja kwa mkopo pia. πŸ˜€

Japo alivyojibu amejibu kutokana na hizi rumours ili kuwaweka watu katika tention na si ajabu ikawa chachu ya watu kujaa Uwanjani jumapili huku kikawaida ikiwa hamna kitu kama hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…