Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀Mwaka huu Manara ataua watu wengi kuliko malaria na uviko...
Hakika.#SisiTunaWatu.
Kuna watu wanateseka aisee.Hii kitu ya moto,
Tuache maskhara Mtani ujue mie sio mmoja ya waliokuwa wanaamini hii kitu.Shadeeya Kama unavyoona picha hiyo....
Sasa tutawaambia nini watu Ijumapili. View attachment 1909870
Mtani na tumejua kukutesa hasaa. 😀🏃♀️🏃♀️Al Ahly wameshaharibu kiki ya ijumapili sasa sijui tutafanyaje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1909838View attachment 1909841
Itakuwa hatari
Acha kabisa Mkuu.Itakuwa hatari
mkuu jezi za Yanga zinapatikana wapi maduka yote uku Sinza hakuna .