Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Naombeni kujuzwa jezi ambazo zitatumia CAF champion league pale ni zipi?
 
Duuh kwa hiyo Koffi ndio yanga yenyewe? Utopolo ni utopolo tu.
Sawa makolokolo,najua inawauma na bado timu halina hamasa .Ni timu pekee mpaka sasa msimu unakaribia kuanza hawajazindua jezi.z.Wanahofu na mapokeo ya jezi iliyojaa makolokolo,nasikia walishatengeneza Kanjubari na watu wake wameirudisha kiwandani ikarekebishwe na kutengenezwa upya.Jezi mbayaaaaaaaa kama muhindi aliyefilisika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…