Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Aisee!! Itakuwa wameleta chache basi Mkuu na mwitikio umekuwa mkubwa.Jezi hakuna mkuu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!! Itakuwa wameleta chache basi Mkuu na mwitikio umekuwa mkubwa.Jezi hakuna mkuu,
Duuh!!Hata jezi tu hamna,zipo Sunderland nae anauza 45000
Zilikuwa nyingi sema hamasa imekuwa kubwaAisee!! Itakuwa wameleta chache basi Mkuu na mwitikio umekuwa mkubwa.
Hata jezi tu hamna,zipo Sunderland nae anauza 45000
Jezi nilizikuta pale makao makuu wamachinga wanaziuza 60 zile zenye rangi ya dhahabu, na nyingine 40.Hata jezi tu hamna,zipo Sunderland nae anauza 45000
Rangi ya dhahabu ndio imegombaniwa sana,hatariiiJezi nilizikuta pale makao makuu wamachinga wanaziuza 60 zile zenye rangi ya dhahabu, na nyingine 40.
Nadhan mpaka mda huu ticket za kujaza uwanja nimeshaisha
Tunakwenda kuweka historia mpya, uwanja utajaaa mno cku hyo, ukichanganya na vishoka kuuza tiketi za magendo naona wapo watakaokosa pakukaa.Nadhan mpaka mda huu ticket za kujaza uwanja nimeshaisha
Mimi nitaangalia viwango vya wachezaji zaidi kuliko vya washabikiTunakwenda kuweka historia mpya, uwanja utajaaa mno cku hyo, ukichanganya na vishoka kuuza tiketi za magendo naona wapo watakaokosa pakukaa.
Hujakatazwa angalia vyote ili upate burudani,kesho ni siku ya burudani mkuuMimi nitaangalia viwango vya wachezaji zaidi kuliko vya washabiki
[emoji16]Mimi nitaangalia viwango vya wachezaji zaidi kuliko vya washabiki
Tungepata na hizi maskTunakwenda kuweka historia mpya, uwanja utajaaa mno cku hyo, ukichanganya na vishoka kuuza tiketi za magendo naona wapo watakaokosa pakukaa.
Huyu ni papaa mobimba au?Tungepata na hizi maskView attachment 1912915
Ni yeyeHuyu ni papaa mobimba au?
Duuh kwa hiyo Koffi ndio yanga yenyewe? Utopolo ni utopolo tu.Ule usemi Wa "kuna siku watu wote watashabikia na kuishangilia Yanga" unaanza kutimia!View attachment 1913531
Unateseka ukiwa wapDuuh kwa hiyo Koffi ndio yanga yenyewe? Utopolo ni utopolo tu.
Sawa makolokolo,najua inawauma na bado timu halina hamasa .Ni timu pekee mpaka sasa msimu unakaribia kuanza hawajazindua jezi.z.Wanahofu na mapokeo ya jezi iliyojaa makolokolo,nasikia walishatengeneza Kanjubari na watu wake wameirudisha kiwandani ikarekebishwe na kutengenezwa upya.Jezi mbayaaaaaaaa kama muhindi aliyefilisikaDuuh kwa hiyo Koffi ndio yanga yenyewe? Utopolo ni utopolo tu.