Kwani Mimi nimeandika hivyo? Kweli ninyi ni MAKOLOKOLO!Duuh kwa hiyo Koffi ndio yanga yenyewe? Utopolo ni utopolo tu.
Tumeshaamka tunaenda kuoga ili tutinge maukali yetu!Amkeni amkeni,
Ile siku imewadia jamani
Siwezi kuja aisee nitakuwa bize kuwaangalia mabingwa watarajiwa Man Utd.Hebu tuache kama unataka na wewe kesho njoo.😆
Huyo ni mmoja,kwaiyo ni kolo[emoji23]Kwani Mimi nimeandika hivyo? Kweli ninyi ni MAKOLOKOLO!
Ni kweli nimeadimika mambo tu yamenibana ila nitarejea tu kama zamani kuja kukukera hapa.Ila unaadimikaga sana Ntani au ndo unagugumia maumivu ya mnayopitia huko mana naona hadi Mumemtuma Kigogo awasemee. 😅😅
Kumbe vichambo vinaumaga. 😆😆
Makolo FC.
Ewaaaa!! Twendeni tukaujaze Uwanja .Amkeni amkeni,
Ile siku imewadia jamani
Heeee.Mimi nitaangalia viwango vya wachezaji zaidi kuliko vya washabiki
Aaa yu shua? 😎Siwezi kuja aisee nitakuwa bize kuwaangalia mabingwa watarajiwa Man Utd.
GGMU
Simba nguvu moja
Niwakilishe mkuu siko dar[emoji108]Ewaaaa!! Twendeni tukaujaze Uwanja .
Huwa wachezaji wanazivaa.Tungepata na hizi maskView attachment 1912915
Kabisa waweke madukanHuwa wachezaji wanazivaa.
Nionavyo waongeze wigo waweke na madukani huko na sisi tukajitwalie.
🤝Niwakilishe mkuu siko dar[emoji108]
yesi amu shuaAaa yu shua? 😎
Mbona update hakuna humu?
Hivi huyu ndo anaitwaje Bro?Ule usemi Wa "kuna siku watu wote watashabikia na kuishangilia Yanga" unaanza kutimia!View attachment 1913531