Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ila unaadimikaga sana Ntani au ndo unagugumia maumivu ya mnayopitia huko mana naona hadi Mumemtuma Kigogo awasemee. 😅😅

Kumbe vichambo vinaumaga. 😆😆

Makolo FC.
Ni kweli nimeadimika mambo tu yamenibana ila nitarejea tu kama zamani kuja kukukera hapa.

Simba hatutishwi na maneno maneno sisi tunaangalia mbele tu.

Simba nguvu moja
Simba bingwa 2021/2022
 
20210829_121112.jpg
 
Back
Top Bottom