Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

leo mbona sisikii yanga kubebwa? au kwasabahu sio wabongo?

mukubali tu yanga ya sasa ni BORA
 
Hivi ni kwa nini KANDAMBILI imekuwa ikitumiwa kama alama ya kuiwakilisha timu ya Yanga na waandishi wa habari wengi hasa wachora katuni!? View attachment 337822
Yebo yebo, kuna aina ya viatu vya kichina almaarufu yebo yebo vilipotoka kwa mara ya kwanza vingi vilikuwa na rangi ya njano, viatu vilipata umaarufu vikapachikwa jina hilo hadi leo na wakati huo Yanga ilikuwa ndio habari ya mjini, kama sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yanga km leicester city vile..
Niwapongeze mwadui kwa kuifunga simba leo 1 - 0 kuipa ubingwa yanga..
 
IMG-20160507-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom