Unakuta anashauri tumrudishe daniel Drinkwater[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyoka huwa ananikera kule Man U , nikaona bora nimuunge mkono tu.....
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Tumchukue Jonjo shelvey[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakuta anashauri tumrudishe daniel Drinkwater[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kichapo kipo palepaleπKila la kheri timu ya Wananchi hapo 17:00Hrs.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#SisitunaWatu
Kocha upangaji wa kikosi kuna mshinda. Amechemka kwenye mechi mbili za klabu bingwa na leo tena anafanya kosa hilo hilo la upangaji wa kikosiJesus na Farid hapo ni kosa Hawa jaa wasingeanza .... Yusuf ni mzuri sana na makambo ameanzaje benchi hii mechi si ya kuangalia
Mnachezea kimoja kipindi cha kwanza na cha pili tunamaliza moja hili wekeni akilini Maine sema sijawaambia maana majanga kwangu mwenye Jicho kaniambai simba 2 uto 0 yai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tusubiri tuone Mkuu huenda ana mipango yake.Jesus na Farid hapo ni kosa Hawa jaa wasingeanza .... Yusuf ni mzuri sana na makambo ameanzaje benchi hii mechi si ya kuangalia