Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Troisième Ceil nakutag mara ya pili leo.
#5imba nguvu moja. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena leo kina Aucho na Djuma ndo walau wamemfanya huyo maloko aonekane kwenye game ya leo.Kaseke,yacouba hawa jamaa sina imani nao kabisaa ila pale kwa kisinda tumezingua sana
😀😀😀Au [mention]Nawatafuna [/mention]
tunachukua makombe yoteeeeeeeeeeeeeeeeeTumestahili jamani. Khaaaaaa. 😅
Wajipange mana kama leo tumejua kuwanyamazisha.tunachukua makombe yoteeeeeeeeeeeeeeeee
Hata mim namuona yacouba hana maamuz ya haraka sioni ni kama mtu wa kumtegemeaa anzage tu benchiMimi sina imani kabisa na yacouba sijuagi kwanini
Hua nahisi n mzito sana
Hapo alikuwa anaenda kuangukaView attachment 1952593Hivi Mohamed Hussein ndo amekaaje jamani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]