Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Uyu jana game ilimshinda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kawekewa wahuni watupu upande wake
Jana alipumulia mashine.

Na itakuwa hana hamu na game za Yanga mana kama mwaka jana Tuisila alikuwa anamlaza na viatu mwaka huu ndo usiseme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…