Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Kaamua kuwachana.Mugalu ameshasema hataki unafiki 🤣🤣🤣
Hivi haka kajamaa huwa ni timu gani? (Ally Kamwe)
Ndiyo ametukanwa sana ,ameona liwalo na liweHahahaaa. Kaamua kuwachana.
Wenyewe wanasema ni YangaHivi haka kajamaa huwa ni timu gani? (Ally Kamwe)
Hivi wanakuwaga na akili gani wanaoahidi hizi mambo?Shadeeya Bi harusi anaenda kuchukuliwa lini?View attachment 1954436
Aaah kwa dunia ya sasa inaweza kuwa ni namna ya kujitangaza tu kuwa yupo hivyo, ila mwanaume mwenye akili timamu na rijali huwezi kuwa na mawazo ya kipuuzi kama hayoHivi wanakuwaga na akili gani wanaoahidi hizi mambo?
😀😀😀Ndiyo ametukanwa sana ,ameona liwalo na liwe
Acha wavurugane tu😀😀😀
Kweli kabisa mie nauonaga ni ujinga wa kiwango cha hali ya juu.Aaah kwa dunia ya sasa inaweza kuwa ni namna ya kujitangaza tu kuwa yupo hivyo, ila mwanaume mwenye akili timamu na rijali huwezi kuwa na mawazo ya kipuuzi kama hayo
Biashara ni matangazo saizi, kwahiyo huwezi shangaa.......kizazi cha nyoka hikiKweli kabisa mie nauonaga ni ujinga wa kiwango cha hali ya juu.
Kabisa! Kwa upande wetu nadhani tukiongeza umakini na muunganiko ukipatikana basi tutakuwa moto this season.Acha wavurugane tu
Kwa ligi yetu,sioni wakutuzuia chamsingi tukiwa na umoja na mshikamano mzuriKabisa! Kwa upande wetu nadhani tukiongeza umakini na muunganiko ukipatikana basi tutakuwa moto this season.
Na Insha Allah basi ubingwa wa VPL tutautwaa.
Hakika Mkuu.Biashara ni matangazo saizi, kwahiyo huwezi shangaa.......kizazi cha nyoka hiki