Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mmh!! Timu inazaidi ya miezi 18 haijashiriki mashindano yeyote hiyo pia mnajitapa nayo. Lol
Hata wangekaa miaka 9 bila kushiriki mashindano yoyote sisi haituhusu hiyo, kwani Simba ndio waliwaambia wasicheze hiyo miezi 18???? Halafu round hii timu kibonde hakuna timu mbovu zilitolewa round ya awali ikiwemo ile iliyotolewa na RIVERS UNITED kwa Aibu.
 
20211019_134749.jpg
 
Maneno kuntu
 
Back
Top Bottom