Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Baada ya jana kukiwasha Songea Kikosi cha Timu ya Wananchi kimerejea salama Dsm kwa ajili ya maandalizi dhidi ya AZAM.
20211020_111922.jpg
 
Ila Yanga bado kazi tunayo ili kumaintain kiwango chetu kwa dkk zote 90.
ni kweli ila kwenye soka ni kawaida mkishinda mnarelax hamuwezi kumntain kiwango bora kwa dakika zote 90 nyakati ngumu katika game lazima ziwepo jambo la muhimu ni kuona mnajilinda vipi game ikibadilika na yanga imeonyesha ukomavu mkubwa katika kulinda matokeo, yaan kwa sasa ukitaka kuujua moto halisi wa yanga basi subiri siku itangulie kufungwa
 
Hahahaa!! Hawa mikia tunaishi nao tu hivyo hivyo.

Hakika na this season ndo maana halisi ya "Return of Champions" inapochukua nafasi yake.
Wananchi msimu huu tuna jambo letu yaani kwa moto ule sioni wa kutuzuia

Misimu iliopita tulikuwa tunaanza vizuri ila badae tunaharibu mie nadhan si kwamba tulikuwa na kikosi kibaya sana tulikuwa na timu nzuri isipokuwa simba walikuwa na timu nzuri zaidi yetu

Na msimu huu sio kwamba simba wana timu dhaifu simba bado ni wazuri isipokuwa yanga ni wazuri zaidi
 
Injinia wa barabara anaogopa kutoa ahadi isije kuwa kama msimu ulioisha
 
Wananchi msimu huu tuna jambo letu yaani kwa moto ule sioni wa kutuzuia

Misimu iliopita tulikuwa tunaanza vizuri ila badae tunaharibu mie nadhan si kwamba tulikuwa na kikosi kibaya sana tulikuwa na timu nzuri isipokuwa simba walikuwa na timu nzuri zaidi yetu

Na msimu huu sio kwamba simba wana timu dhaifu simba bado ni wazuri isipokuwa yanga ni wazuri zaidi
Yani tulitegemea mwakajana Fiston , Sapong , Nchimbi , Farid na Kaseke ndio watupe ubingwa??? Tulifeli Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ndo mambo mkuu usajili ni kama kamari hata ulaya yapo hayo kuna kupata na kupatwa🤣🤣
ila niliumia sana tkmaster kuondoka huyu moloko anajitahidi ila naona bado hajafikia uwezo wa tkmaster
 
Back
Top Bottom