Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Makundi ya Nyoko?? Kumbe ndio huna akili kiasi hiki???
Ismael Aden Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu. Kumbe hujui hata kuna playoffs [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
si uwa mnasema CAF YOTE NI SIMBA.inawezekana tukaenda mpaka makundi moja kwa moja.
 
hamna hatufungwi.
Simba iko vizuri.
mwakani club bingwa tunaenda peke yetu
😅😅😅 unachekesha kweli nyie msimu huu hata top two hammo, jitahidin mwakan mshiriki japo shirikisho msipoangalia hampandi ndege
sijui mtamuambia nin manara mkishindwa kupata nafas
 
Makundi ya Nyoko?? Kumbe ndio huna akili kiasi hiki???
Ismael Aden Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu. Kumbe hujui 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Makundi ya Nyoko?? Kumbe ndio huna akili kiasi hiki???
Ismael Aden Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu. Kumbe hujui 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Halafu hii Misukule tukiibeba lazima tupate nuksi[emoji52]
hamna lolote mkuu nyie msimu huu hamna timu
tukutane kwa mkapa leo mko na wajeda na msimu huu hawataki mchezo sijui leo watawapeleka gereza gani mchague wenyew kama ni keko segerea au ukonga ili stress ziwazidi zaid

kutesa kwa zamu hakuna cha nuksi
 
Ata msimu ulioisha mlizungumza ivy ivy
 
Piga keleeeleeeeeee
Screenshot_20211026-150725.jpg

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
This season tunachukua ubingwa kwa kumpiga Makolo nje ndani. Tafadhari tunzeni hii comment.
 
Back
Top Bottom