Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kama ni ivyo basi baada ya huo mwezi mmoja nawaomba tff waiamuru Yanga iwe inapanga wachezaji 7+1 golikipa,maana hakuna timu itakayoweza kucheza na Yanga eleven kwa eleven.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umepotea sana kule kwetu kwingine naona mmasai anazidi kuku prove wrong na kukuangusha[emoji16]
Kwasasa nishamkataa, naombea apate hata ajali afe, maana jamaa ishakua ngumu kufukuzwa.

Kuzidi game ya jana, nimejikuta sina ham ya kuangalia mechi yeyote ile ya Man United mpaka Sorkjaer atakapo ondoka.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Fair Competition imeanza baada ya Yanga kuonekana imara
Hiyo hiyo Namungo inayodhaminiwa na GSM ilishadhaminiwa na MO akiwa ni mwenyekiti wa Simba
Kulalamika sana ni dalili ya kuishiwa mbinu...dalili ya kuzidiwa na kushindwa
Mpira uchezwe uwanjani wote tuone asitafutwe mchawi😂😂😂😂😂😂😂
 
Kwasasa nishamkataa, naombea apate hata ajali afe, maana jamaa ishakua ngumu kufukuzwa.

Kuzidi game ya jana, nimejikuta sina ham ya kuangalia mechi yeyote ile ya Man United mpaka Sorkjaer atakapo ondoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani weekend inaisha Yanga hatujacheza?? Hili halikubaliki ! Afadhali Viongozi wametafuta mechi za kirafiki tuwaone na akina Nchimbi. Wasisingizie hawapati nafasi wakati wamepata nafasi zaidi ya miaka miwili na hakuna walichokifanya
 
Kocha kesho na mlandege twende hv
1. Erick Johola
2. Paul Boxer
3. Adeyun
4. Shaibu Ninja
5. Bangala
6. Mukoko
7. Nchimbi
8. Tafuta dogo wa U20
9. Makambo.
10. Farid
11. Kaseke
 
Kocha kesho na mlandege twende hv
1. Erick Johola
2. Paul Boxer
3. Adeyun
4. Shaibu Ninja
5. Bangala
6. Mukoko
7. Nchimbi
8. Tafuta dogo wa U20
9. Makambo.
10. Farid
11. Kaseke
Hapo kwa Adeyun aweke bryson,kwa Bangala aweke akina chibada,atafute beki Wa kati toka timu B acheze na Ninja. Huko kwingine sawa tu. Hivi Blama wanatuambiaga tu yupo fit 100% mbona hachezi?
 
Hapo kwa Adeyun aweke bryson,kwa Bangala aweke akina chibada,atafute beki Wa kati toka timu B acheze na Ninja. Huko kwingine sawa tu. Hivi Blama wanatuambiaga tu yupo fit 100% mbona hachezi?
Chibada si alitoewa kwa mkopo yule kaenda timu za kaskazini huko kama sio biashara basi geita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…